Tuesday, April 29, 2014

Leo patashika nguo kuchanika mechi ya marudiano Bayern Munchen vs Real Madrid ligi kuu ya mabingwa ulaya,Katika mechi ya kwanza Rea Madrid ilikuwa nyumbani na ilishinda bao moja bila lililifungwa na Karim Benzema na leo Real Madrid itakuwa ugenini dhid ya wenyeji Bayern Munchen.Mechi hiyo itachezwa mida ya saa 3:45 usiku,usikose mchezo huyo mkali ni wa kutafuta mshindi wa kucheza fainal Na kesho Inshallah...

Tuesday, April 15, 2014

Ndug yetu,Dada yetu mpemdwa Mwana Yusuph amefariki dunia juzi Ijumaa mida ya saa sita mchana baada ya Smart bus kupata ajali na yeye papo hapo na kufariki. Gari hyo iliuwa watu 2 na majeruhi wasiopungua 12.                                     ...

Thursday, April 10, 2014

Kidema Bakari leo anazaliwa tena upya tangu alipozaliwa tarehe 10th 04 kwa kufikisha miaka kadhaa, Tunaomba ndugu,jamaa na marafiki wamuombee dua Allah amuongoze ktk njia iliyonyooka,                                         ...
Jana majira ya saa 4 kasoro kulikuwa na mechi kali ktk viwanja tofauti na timu mbalimbali Ligi ya kilabu bingwa ulaya,Ni mechi za marudiano kati ya Man United vs Bayern Munich baada ya kutoka sare ktk mchezo wa kwanza na A.Madrid vs FC Barcelona pia zilitoka sare ktk mchezo wa kwanza. Jana zilirudiana tena kutafuta bingwa wa kuingia Nusu fainali A.Madrid alikuwa nyumbani dhidi ya FC Barcelona na Bayern...

Wednesday, April 2, 2014

Mpaka sasa mwaka 2014 imebakia mwaka mmoja kwa uchaguzi mwingine mwaka 2015,kumbe hawa viongozi wetu kabla ya kupata uongozi wakat wa kampeni walituahidi kutufanyia mambo mbali mbali kata,majimbo na vijiji vyetu,JE WAMETEKELEZA AHADI ZAO ??? Viongozi wengi wanajifanya wakarimu na watiifu na watekelezaji  ktk kipindi kifupi cha kampeni wakishapata uongozi wanajilimbikizia mali majumbani mwao na...
Jana majira ya saa 3:45 ndani ya Old Traford Man United yachuana na Mabingwa wa Ujeruman Bayern Munchen ilikuwa mtoto hatumwi dukani,Mechi ilikuwa ngumu mno tena ilikuwa lazima afe mtu lakin timu ipate point 3 muhimu,Mpaka kipindi cha kwanza kinaisha hakuna aliyeoana nyavu ya mwenzake. Kpindi cha pili mnamo ya dk ya 56 Namanje Vidic aliipay\tia Man U bao la kwanza kwa kuunganisha kona kwa kichwa kikali...