Manchester United yafuzu kuingia robo fainal baada ya kuichapa Olympiokos magoli 3-0.
Magoli hayo yakifungwa na V.Persie ktk dk ya 25 kwa mkwaju wa Penalt na dk ya 45 ktk 
kipindi cha kwanza.Baada ya kurudi kipindi cha pili dk ya 52 V.Persie aliifungia tena timu yake kwa mkwaju wa faulu ulioingia moja kwa moja wavuni.
kwa magoli hayo matatu imeiwezesha Man U kuingia Robo fainal
Wednesday, March 19, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
 RSS Feed
 RSS Feed Twitter
 Twitter 3:56 PM
3:56 PM
 Unknown
Unknown

 Posted in
 Posted in 






 
 
 
 
 
 
 
 
 
Ongereni mashabiki wa MAN U.
ReplyDelete