Jana saa 3:45 usiku ndani Old Trafford kulikuwa na mech kali kali ya Manchester United na Hull city,Man U ilifanikiwa kushinda 3-1 na kuchukuwa points 3 muhimu.
Magoli hayo yalifungwa na James Willson ktk dakika ya 31 na 61,mechi iliendelea kuwa ngumu,Hull city ilichomoa bao mmoja.
ktk dakika ya 86 Robbon V.Persie aliishindia bao la 3 Manchester United,hatimae Man U mpaka kipenga cha mwisho bao ni 3-1.

 RSS Feed
 RSS Feed Twitter
 Twitter 2:50 AM
2:50 AM
 Unknown
Unknown

 Posted in
 Posted in 

0 comments:
Post a Comment