Tuesday, May 13, 2014

DIGO TRIBLE The Digo are an ethnic and linguistic group based near the Indian Ocean coast between Mombasa in southern Kenya and Tanga in northern Tanzania. In 1994 the Digo population was estimated to total 305,000, with 217,000 ethnic Digo living in Kenya and 88,000 (1987 estimate) in Tanzania. Digo people speak the Digo language, called Chidigo by speakers, a Bantu language. They are...

Thursday, May 8, 2014

EPL sasa timu zimebakisha mechi moja moja ili tujue nani bingwa Rasmi,lakin ukichek points hizi utajua nani anatarajiwa kuwa bingwa wa EPL,wengi tulitabir ubingwa kwa timu mbalimbali kubwa na maaruf zaid lakin kumbe sivyo,haya tuangalieni hizo mechi moja za mwisho....

Wednesday, May 7, 2014

Jana saa 3:45 usiku ndani Old Trafford kulikuwa na mech kali kali ya Manchester United na Hull city,Man U ilifanikiwa kushinda 3-1 na kuchukuwa points 3 muhimu. Magoli hayo yalifungwa na James Willson ktk dakika ya 31 na 61,mechi iliendelea kuwa ngumu,Hull city ilichomoa bao mmoja. ktk dakika ya 86 Robbon V.Persie aliishindia bao la 3 Manchester United,hatimae Man U mpaka kipenga cha mwisho bao ni...

Tuesday, May 6, 2014

Hapa ukibugi tu umeliwa kutokana na ugumu wa ligi na upishanaji wa points....
INNALILLAH WAINAILLAH RAAJIUN !!!, Sheikh wetu kipenz chetu Ilunga amefariki dunia juzi jpili saa 5 usiku na amezikwa jana mida ya saa kumi alasiri ktk makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni Jijini Dar es salam. Ni pigo kubwa sana kwa waislamu wote hususani Tanzania kwani tumeyaona matunda yake ktk harakati za kutetea haki za waislamu wa Tanzania,Waislam tunatakiwa tuige nyendo za Sheikh wetu. Mungu akulaze...

Tuesday, April 29, 2014

Leo patashika nguo kuchanika mechi ya marudiano Bayern Munchen vs Real Madrid ligi kuu ya mabingwa ulaya,Katika mechi ya kwanza Rea Madrid ilikuwa nyumbani na ilishinda bao moja bila lililifungwa na Karim Benzema na leo Real Madrid itakuwa ugenini dhid ya wenyeji Bayern Munchen.Mechi hiyo itachezwa mida ya saa 3:45 usiku,usikose mchezo huyo mkali ni wa kutafuta mshindi wa kucheza fainal Na kesho Inshallah...

Tuesday, April 15, 2014

Ndug yetu,Dada yetu mpemdwa Mwana Yusuph amefariki dunia juzi Ijumaa mida ya saa sita mchana baada ya Smart bus kupata ajali na yeye papo hapo na kufariki. Gari hyo iliuwa watu 2 na majeruhi wasiopungua 12.                                     ...