DIGO
TRIBLE
The Digo are an ethnic and linguistic group based near the Indian Ocean
coast between Mombasa in southern Kenya and Tanga in northern Tanzania.
In 1994 the Digo population was estimated to total 305,000, with 217,000
ethnic Digo living in Kenya and 88,000 (1987 estimate) in Tanzania.
Digo people speak the Digo language, called Chidigo by speakers, a Bantu
language. They are part of the greater Mijikenda ethnic group of people
which contains nine smaller groups or tribes, including the Duruma,
Giriama, and others.
Digo women do a tremendous amount of labor, but excluded from
participating in politics, religion, kinship issues, and major economic
transactions. Their culture generally regards women as childlike and
irresponsible. Spirit possession sometimes occurs among the women. The
Digo refer to the spirits in question as shaitani. The shaitani
typically demands luxury items to make the patient well again. Despite
the fact that men sometimes accuse women of faking the possessions in
order to get luxury items, attention, and sympathy, they do generally
regard spirit possession as genuine condition and view victims of it as
being ill through no fault of their own. However, sometimes men suspect
women of actively colluding with spirits in order to be possessed.
The Digo are a Muslim tribe living in northern Tanzania and southern
Kenya.
The women of Tanzania’s Tanga region are said to be skilled in sensual
play and are both shunned and desired in Tanzania for their “bedroom
skills” and sexual know-how
Tuesday, May 13, 2014
Thursday, May 8, 2014
Wednesday, May 7, 2014
2:50 AM
Unknown
Jana saa 3:45 usiku ndani Old Trafford kulikuwa na mech kali kali ya Manchester United na Hull city,Man U ilifanikiwa kushinda 3-1 na kuchukuwa points 3 muhimu.
Magoli hayo yalifungwa na James Willson ktk dakika ya 31 na 61,mechi iliendelea kuwa ngumu,Hull city ilichomoa bao mmoja.
ktk dakika ya 86 Robbon V.Persie aliishindia bao la 3 Manchester United,hatimae Man U mpaka kipenga cha mwisho bao ni 3-1.

Tuesday, May 6, 2014
1:45 AM
Unknown
INNALILLAH WAINAILLAH RAAJIUN !!!,
Sheikh wetu kipenz chetu Ilunga amefariki dunia juzi jpili saa 5 usiku na amezikwa jana mida ya saa kumi alasiri ktk makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni Jijini Dar es salam.
Ni pigo kubwa sana kwa waislamu wote hususani Tanzania kwani tumeyaona matunda yake ktk harakati za kutetea haki za waislamu wa Tanzania,Waislam tunatakiwa tuige nyendo za Sheikh wetu.
Mungu akulaze mahali pema peponi Aaameni.

Tuesday, April 29, 2014
2:07 AM
Unknown
Leo patashika nguo kuchanika mechi ya marudiano Bayern Munchen vs Real Madrid ligi kuu ya mabingwa ulaya,Katika mechi ya kwanza Rea Madrid ilikuwa nyumbani na ilishinda bao moja bila lililifungwa na Karim Benzema na leo Real Madrid itakuwa ugenini dhid ya wenyeji Bayern Munchen.Mechi hiyo itachezwa mida ya saa 3:45 usiku,usikose mchezo huyo mkali ni wa kutafuta mshindi wa kucheza fainal
Na kesho Inshallah kutakuwa na mchezo mkali pia kati ya Chelsea vs A.Madrid pia ni mchezo wa marudiano ambao A.Madrid itakuwa nyumbani ni muda muda wa saa 3:45 kupatikana mshindi wa kucheza fainal usikose mchezo michezo hiyo mikali na mizuri.

Tuesday, April 15, 2014
1:37 AM
Unknown
Ndug yetu,Dada yetu mpemdwa Mwana Yusuph amefariki dunia juzi Ijumaa mida ya saa sita mchana baada ya Smart bus kupata ajali na yeye papo hapo na kufariki.
Gari hyo iliuwa watu 2 na majeruhi wasiopungua 12.
CHANZO CHA AJALI.
Kulikuwa na Gari njiani ilikuwa inamwaga mafuta bila kujua huku mvua ilikuwa inanyesha kwa kasi mno,
wakati Smart bus ipo nyuma ya Gari hilo kwa mwendo wa kasi ilikanyaga mafuta hayo ikawa inayumbayumba,wakati dereva anataka kufunga break ili apunguze mwendo Gari ilipiga mwereka na kuanguaka chini,iliuwa watu 2 ni Dada yetu Mwana Yusuph na mwanaume mmoja.
Walikuwa wanasafiri kuelekea Tanga walikuwepo familia Baba,Mama na mtoto wao pamoja na wifi yake.
Mumewe Zakaria aliumia pia alikuwa majeruhi,wifi yake alivunjika mkono ila mtoto hakuumia hata kidogo.
alisafirishwa Jmosi jioni na alizikwa jana Jpili asubuhi Kichalikani.
ASILI YA DADA YETU.
Huyu anaitwa Mwana Yusuph,Baba yake anaitwa Hussein,Mama yake ni mtu wa Kichalikani na Baba yake ni mtu wa Boma,Mume wake anaitwa Zakaria mtu wa Boma wana mtoto mmoja anaitwa Mwanshida.
Walikuwa wanaishi Kigogo wamejenga nyumba yao.

Thursday, April 10, 2014
3:42 AM
Unknown
Kidema Bakari leo anazaliwa tena upya tangu alipozaliwa tarehe 10th 04 kwa kufikisha miaka kadhaa,
Tunaomba ndugu,jamaa na marafiki wamuombee dua Allah amuongoze ktk njia iliyonyooka,
HISTORY KWA UFUPI.
Kijana huyu alizaliwa Jijini Dare ssalam,M/nyamala hospital siku ya jtatu saa saba mchana sawa na tarehe 10 mwezi wa 4,alisoma shule ya msingi Mwongozo primary school mpaka darasa la tano alafu darasa la sita na la saba alimalizia Vyeru primary school.Kijana huyu wazazi wake wote ni wazaliwa wa Tanga,
pia Kidema aliishi sana TANGA alafu alirudi tena Dare ssalam kwa kujiendeleza na masomo ya ngazi ya juu.
SHUGHULI ZAKE KWA SASA.
Kujana huyu kwa sasa yupo Magoni mapipa anajishughulisha na mambo ya ICT(Information & Communication Technology) ktk Company yao Bongotech Communication Limited,
Pia ni Director wa Blog ya Fikra za Wadigo.blogspot.com.
MALENGO
Malengo makuu ya kijana huyu ni kudumu na Ibada na kuingia Peponi,kwan lengo kuu la kuletwa hapa duniani ni kumuabudi ALLAH mengine ni ziada tu,hivyo basi wote tujitahidi kuchakarika kutafuta radhi za ALLAH na sio kuchakarika kwa ajili ya kutafuta dunia.
SHUKRANI ZANGU
Shukrani zangu kubwa kwanza zimfikie Mama yangu mzazi kiukweli nampenda sana kwan yeye ndo chanzo pia cha kuwepo hapa dunian baada ALLAH,Pili shukran ziwafikie ndugu,jamaa na marafiki wote tunaofaamiana kwa ujumla pamoja na Rafiki yangu kipenzi Mussa M.Mwadambo.

2:51 AM
Unknown
Jana majira ya saa 4 kasoro kulikuwa na mechi kali ktk viwanja tofauti na timu mbalimbali Ligi ya kilabu bingwa ulaya,Ni mechi za marudiano kati ya Man United vs Bayern Munich baada ya kutoka sare ktk mchezo wa kwanza na A.Madrid vs FC Barcelona pia zilitoka sare ktk mchezo wa kwanza.
Jana zilirudiana tena kutafuta bingwa wa kuingia Nusu fainali A.Madrid alikuwa nyumbani dhidi ya FC Barcelona na Bayern Munich alikuwa nyumbani dhidi ya Man United.
Man United ilichezea kichapo cha mabao 3-1 na kuyaaga maagano hayo magoli hayo yalifungwa na Mandzkuc,T.Muller na Robben na goli la kufutia machozi la Man U lilifungwa na Evra.
FC Barcelona nayo ilichezea kichapo cha bao moja dhidi ya A.Madrid mpaka kipenga cha mwisho bao halikurudi,hivyo basi ilipelekea timu hizi mbili kuyaaga mashindano rasmi.

Wednesday, April 2, 2014
7:33 AM
Unknown
Mpaka sasa mwaka 2014 imebakia mwaka mmoja kwa uchaguzi mwingine mwaka 2015,kumbe hawa viongozi wetu kabla ya kupata uongozi wakat wa kampeni walituahidi kutufanyia mambo mbali mbali kata,majimbo na vijiji vyetu,JE WAMETEKELEZA AHADI ZAO ???
Viongozi wengi wanajifanya wakarimu na watiifu na watekelezaji ktk kipindi kifupi cha kampeni wakishapata uongozi wanajilimbikizia mali majumbani mwao na kuwasahau wananchi waliowachugua na kupoteza muda mwingi kwa ajili yao.
Na ikifika karibu na Uchaguzi ndo wanajifanya wapo karibu na Wananchi wao,Jaman wananchi tusikubali hali hii ya kudanganywa na vijipesa,kanga,Fulana na kofia,Tena tusikubali kudanganya kwa siku moja na kupata hasa muda wa miaka 5.
Katika kata yetu ya Kwale na Wilaya ya Mkinga tumeahidiwa mambo kibao matokeo yake hakuna kilichofanyika zaid ya visiwa vya maji ya chumvi na vibanda vya misikiti.
Hali inazidi kuwa mbali vijijini mwetu,TAFAKARI..............
Toa maoni yako kama mdau wetu.

12:36 AM
Unknown
Jana majira ya saa 3:45 ndani ya Old Traford Man United yachuana na Mabingwa wa Ujeruman Bayern Munchen ilikuwa mtoto hatumwi dukani,Mechi ilikuwa ngumu mno tena ilikuwa lazima afe mtu lakin timu ipate point 3 muhimu,Mpaka kipindi cha kwanza kinaisha hakuna aliyeoana nyavu ya mwenzake.
Kpindi cha pili mnamo ya dk ya 56 Namanje Vidic aliipay\tia Man U bao la kwanza kwa kuunganisha kona kwa kichwa kikali iliyochongwa na mshambuliaji hatari Wayne Rooney hapo ikawa 1-0.
Mechi iliendelea kuwa ngumu kupita kiasi na card zikiendelea kufanya kazi yake.
Coach wa Bayern alifanya sub ya akili alimtoa T.Muller na kumuingiza Mundzkic ambae dk ya 77 aliifungua bao safi timu yake ikawa 1-1.
Mpaka dk 90 za mwisho matokeo yalibakia 1-1.

Sunday, March 30, 2014
12:32 PM
Unknown
Ulevi mbalimbali kwa sasa umeingia vijijini tena unavutwa bila uoga,zamani ulevi vijijini walikuwa wanatumia Pombe,Bangi,Mirungi na nk.
Lakini kwa miaka hii ya sasa kumeingia ulevi mkubwa sana Unga.
Unga sasa umekuwa ulevi mkubwa sana vijijini,vijana wengi wameharibika kwa ulevi huu hatari,
Nguvu kazi imepotea,Uwizi umeongezeka kwa kasi kubwa,vijana wamekuwa vibaka,wezi wa Nazi na vitu vingine.Amani imepotea vijijini,vijana wanarudisha nyuma maendeleo ya jamii kwani wanaiba mali za Umma,Mali za majumbani kwao ilimradi wapate pesa ya kununulia Unga.
Ina wabidi wafanye kazi rahisi ya kuiba kwani afya zao haziruhusu kufanya kazi ngumu.
Wanakijiji wanashindwa kuchukua hatua au maamuzi makali kwa sababu wanajuana au wanaoneana aibu eti kisa ni mtoto wa fulani,Je tutafika
Saturday, March 29, 2014
8:56 AM
Unknown
Manchester United yaichapa Aston villa mabao 4-1.
Leo kulikuwa na mechi kali kati ya Man U na Aston villa mida ya saa 9:30 alasiri,dk ya 10 Aston villa yaanza kupata goal la kwanza.mechi iliendelea kuwa ngumu mno mnamo dk ya 40 Rooney iliipatia Man U bao la 1,ikawa 1-1,Dk ya 45 kwa mara nyingine tena Rooney iliipatia Man U bao la 2,
Baada ya kurud Half time mechi iliendelea kuwa ngumu mno kwa mashuti ya hapa na pale,
Mnamo dk ya 80 Juan Mata aliipatia timu yake bao la 3 na game ilikuwa na mashambulia makali,Aston villa japokuwa ilifungwa bao hayo lakin haikukata tamaa iliendelea kuishambulia Man U.
Lakin Man U haikukubali na kuendeleza ubabe dk ya 90 Chicharito akizidi kuikandamiza Aston villa bao la 4 kuunganissha cross kali iliyopigwa na Junujaz,game iliishia kwa 4-1.

Thursday, March 27, 2014
3:54 AM
Unknown
Serikali yetu imelitilia mkazo suala la elimu na serikali ikaamua kujenga seondary kila kata ktk mikoa yote Nchini tangu mwaka 2004 na kuendeleaserikali ilifanikiwa zoezi hili kwa hali na mali.
Na wanafunzi walifanikiwa kufaulu ktk shule hizo.
Tatizo kubwa lipo ktk kufaulisha form four kwenda form five hapo ndipo kuna mtihan mkubwa mno,
Wananchi wanajiuliza maswali mengi sana kuhusu suala la ufaulu wa watoto wao.
1.Je tatizo ni walimu hawana viwango vya kufundisha? au
2.Walimu ni wachache shuleni? au
3.Tatizo ni vitendea kazi hakuna?au
4.Wanafunzi hawajisomea watokapo shuleni?au
5.Serikali inataka kuunda raia wanaojua kusoma na kuandika tu?
Maswali haya wazazi wanajiuliza kila leo lakin bado hawajapata majibu halisi.
wazazi wanakubali kujinyima mambo mengi lakin mwanae asome na afike mbali ili apate mafanikio matokeo yake mtoto anaishia form two au form four.
Swali langu Je tufanyeje ili kuongeza ufaulu ktk shule zetu za kata?
MTAZAMO WANGU
Serikali tayari imeshatuonesha njia ya kufuata,tunachotakiwa wananchi tujitolee wenyewe kama tulivyojitolea ktk ujenzi wa majengo ya shule yaani nguvu kazi mtoto asome.
Wananchi tukae tujadili na tuangalie mapungufu yako wapi alafu tuyatatue kidogo kidogo,
Kutokana na mtazamo wangu huyo Inshallah huenda tukapata majibu ya maswali yetu.
Kama una maoni,ushauri tunaomba ucomment ili tupate ufafanuzi....................

Tuesday, March 25, 2014
4:20 AM
Unknown
Man U vs Man city zakutana tena leo kwa mechi ya marudiano,
leo Man United yuko nyumbani Old Trafford akitaka kulipiza kisasi mechi zilizopita
je ataweza...??,usikose kufuatilia mchezo huu wa leo utakao chezwa saa 4:45 usiku,
pia usikose kutembelea ktk blog hii kupata taarifa mbalimbali.
Man U itamkosa mchezaji wake hatari mwenye uchu wa magoli Robin Van Persie aliumia mechi iliyopita
Ni majeruhi na yupo nje kwa wiki sita.
Sunday, March 23, 2014
2:50 AM
Unknown
Jana Arsenal yachezea kichapo cha Mbwa mwizi bila huruma tena bila kuangaliwa usoni,imechezea kichapo cha mabao 6-0 ndani ya nyumbani Stamford Bridge.
dakika ya 4 Mu Africa mwenye njaa ya magoli Samuel Etoo afunga bao la kwanza,mpira ukiendelea kwa kasi mnamo dakika ya 6 Edin Hazard atumbukiza goal la pili kwa mkwaju wa penalt na Gigs akitolewa nje kwa card nyekundu hapo Chelsea ilipamba moto,dakika ya 33 Schurrle akifunga bao la 3 na dakika ya 45 Osca akicheza na nyavu bao la 4.
Kipindi cha pili dakika ya 65 Osca alicheza na nyavu kwa mara ya pili na mpira ulizidi kuwa mgumu kwa upande wa Arsenal na kuanza kukata tamaa ya kurudisha magoali hayo.
Mnamo dakiaka ya 83 M.Salah akizidi kuwachosha wachezaji wa Arsenal kwa kuongeza bao la 6.
Mchezo uliishia hivyo kwa magoli 6-0,poleni sana washabiki wa Arsenal

1:23 AM
Unknown
Timu hizo jana zilicheza ktk viwanja tofauti tofauti na zilifanikiwa kushinda na kuchukua point 3 muhimu,
(1)Chelsea na Arsenal ziliingia uwanjani mida ya saa 9:30 alasiri,Chelsea ilimchapa Arsenal kipigo cha Mbwana mwizi bao 6-0.
(2)Man United na West hum nazo ziliingia uwanjani mida ya saa 2:30 Man U ikiwa ugenini ilichukua point 3 muhimu kwa kuichapa West hum 2-0.
(3)Liverpool na Cadiff United ziliingia uwanjan mida ya saa 12:30,Liverpool nayo yachukua point 3 kwa kuichapa Cadiff 6-3 mechi hii ilikuwa ngumu mno kwan ilikuwa na ushindan mkubwa sana kila mtu alikuwa akihitaj point 3 muhimu.
(4)Man city na Fulham ziliingia uwanjan mida ya saa 15:00,Man city ilichukua point 3 kwa kuichapa Fulham mabao 5-0,mechi hii Fulham ilihemewa vibaya mno na kushindwa kupata hata bao kufuta machozi.

Saturday, March 22, 2014
5:16 AM
Unknown
Leo j.mosi ratiba yaendelea tena ktk viwanja mbalimbali
CHELSEA vs ARSENAL
Mida ya saa 9:30 alasiri usikose mechi kali za leo.
LIVERPOOL vs CADIFF
Mida ya saa 12:30 jioni
MAN U vs WEST HAM
Mida ya saa 2:30 usiku
je leo Man U itashinda tena?usikose kufuatilia mchezo huu mkali mno pia usikose kufuatilia blog hii ili kujua matokeo mbali mbali kuhusu michezo hii na habari nyingine tele.
pia michezo mingine kama Man city n.k

3:40 AM
Unknown
Ni Juma Mohammed (J.Tozz),amezaliwa Tanga,wilaya ya Mkinga kijiji cha Magaoni,
Amesoma shule ya msingi Bawa,Kwale sec school,chuo Datastar Training College,
Kwa sasa anaishi Arusha kama Director Ancester Travel and Tours.
Kwa waliopo Arusha kama unamaoni,ushauri na habari yoyote wasiliana nae kwa
Tell: +255 714 178 093
Email: kampeni38@gmail.com
skype: jumamody
Twiter:jumamody
Pia kama una matangazo mbali mbali usisite kuwasiliana nasi.

Friday, March 21, 2014
6:00 AM
Unknown
Mawasiliano kwa Wadau wa Fikra za Wadigo blog.
Tell: +255/717 105 505
+255/783 105 505
+255/716 568 163
Email: Kidemanho@gmail.com
Mwadambo@gmail.com
fikrazawadigo@wadigo.com
Website: w.w.w.fikrazawadigo.co.tz
Kama una maoni,habari,ushauri au kama unataka kujiunga ili uwe unaandika habari mbali mbali wasiliana nasi.

1:55 AM
Unknown
Nawatakia Ijumaa njema Waislam wote dunia,Mungu azikubali swala na dua zenu,
Pia nawahasi tufike misikitini mapema ili kupata fadhila za Ijumaa,
tufunge biashara zetu kwa muda pia tuwah hotuba 2 muhimu kabla ya swala,Mtume Muhammad (s.aw)
anatuhimiza pindi tuendapo Ijumaa basi tuoge,kwahiyo tusisahu kuoga kwa siku ya leo pia tujipake manukato kama tunayo,tukumbuke kuvaa nguo nzuri hasa hasa Kanzu kwa wanaume.
IJUMAA KAREEM.

Mwandishi wetu na mtoaji habari mbalimbali ktk Blog yetu ya Wadigo kule visiwani Pemba ni MUSSA MWADAMBO,
Huyu ni kijana mdogo sana aliyezaliwa Mkoa wa Tanga wilaya ya mkinga kata ya kwale kijiji cha Kichalikani,
pia amesoma shule ya msingi Vyeru na akafaulu shule ya secondary Kwale.
Kwa sasa anaishi Pemba pamoja na shughuli zake zote anafanyia kule.
Kwa walio visiwani kama una habari,Maoni,ushauri kuhusu blog yetu Muone Mr.Mussa Mwadambo au wasiliananae kwa
Tell: +255/716 568 163
+255/776 347 877
Email:Mwadambo@gmail.com
Kijana huyu ni rafiki mkubwa wa Kidema au Kidemanho ambae pia ni Muandishi wetu aliyepo Daressalam,
Ni marafiki tokeo wanasoma Nursery,Primary na Secondary
Thursday, March 20, 2014
3:16 AM
Unknown
Shule ya secondary Kwale iliyopo mkoa wa Tanga wilaya ya Mkinga kata ya Kwale iliyoanzishwa mwaka 2005,2006 matokeo yake ya mwaka 2013 yamekuwa yakitishia amani,
ziro ni nyingi mno kuliko walio pata alama ya kupata cheti cha kumaliza elimu ya kudato cha nne,Wazazi wengi wakilalamika na kukata tamaa juu ya kizazi kijacho.
Shule hii ilikuwa na matokeo mazuri sana hapo awali ilifaulisha vijana mwaka 2009,2010 na 2011 wengine wapo mavyuoni,Makazini nk.
MAOMBI YA WANANCHI
Wanaomba wadau wenye uchungu na maendeleo ya kata yao wafanye mpango wa kuongeza walimu,
pamoja na vifaa vya utendaji kazi kama vitabu,chalks,madawati na maabara.
Pia wanafunzi waliopo mavyuoni na wale wa form 5 na 6 wajitolee kuja kufundisha ndugu zao
Wednesday, March 19, 2014
3:56 PM
Unknown
Manchester United yafuzu kuingia robo fainal baada ya kuichapa Olympiokos magoli 3-0.
Magoli hayo yakifungwa na V.Persie ktk dk ya 25 kwa mkwaju wa Penalt na dk ya 45 ktk
kipindi cha kwanza.Baada ya kurudi kipindi cha pili dk ya 52 V.Persie aliifungia tena timu yake kwa mkwaju wa faulu ulioingia moja kwa moja wavuni.
kwa magoli hayo matatu imeiwezesha Man U kuingia Robo fainal
11:42 AM
Unknown
Shule ya secondary Kwale iliyopo mkoa wa Tanga wilaya ya Mkinga kata ya Kwale iliyoanzishwa mwaka 2005,2006 matokeo yake ya mwaka 2013 yamekuwa yakitishia amani,
ziro ni nyingi mno kuliko walio pata alama ya kupata cheti cha kumaliza elimu ya kudato cha nne,Wazazi wengi wakilalamika na kukata tamaa juu ya kizazi kijacho.
Shule hii ilikuwa na matokeo mazuri sana hapo awali ilifaulisha vijana mwaka 2009,2010 na 2011 wengine wapo mavyuoni,Makazini nk.
MAOMBI YA WANANCHI
Wanaomba wadau wenye uchungu na maendeleo ya kata yao wafanye mpango wa kuongeza walimu,
pamoja na vifaa vya utendaji kazi kama vitabu,chalks,madawati na maabara.
Pia wanafunzi waliopo mavyuoni na wale wa form 5 na 6 wajitolee kuja kufundisha ndugu zao
6:26 AM
Unknown
Vijana wa kidigo wa kijiji cha Kichalikani wakipeana mawazo mbali mbali ya kuhusu
maisha ya mjini,vijana hawa wanashirikiana kwa kila jambo na wanapanga mikakati
madhubuti kuhusu maendeleo ya kijiji chao kichalikani.
kijiji chao kwa sasa kina mafanikio makubwa,vijana wameilimika wamejenga ya msingi,
wanajenga nyumba madhubuti za tofali na sasa wanampango wa kujenga Hospital ya kijiji.
4:29 AM
Unknown
Real Mardid yafuzu ktk mchezo wa jana kti ya Shalk o4 kwa kuichapa mabao 3-1.
Mchezo ulikuwa mgumu sana hadi half time bao ni 1-1,baada ya kurud tena dumbani
Mchezajio bora wa dunia C.Ronald akaipatia timu yake bao la pili mnapo dk ya 67,
mchezo uliendelea kuw mgumu sana.
kwenye dk ya 83 mchezaji ISCO akaipatia tena yake bao la 3,
mpaka kipenga cha mwisho Real Madrid waliondoka na ubingwa huo.
Monday, March 3, 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)